Mfumo wa Ajira wa Serikali | Maelekezo Jinsi ya Kuapply Ajira Serikalini | How Make Application in the Employment System
ElimikaZaidi.com
Ni vizuri Kutumia PC/Laptop Kufanya Application katika mfumo Huo wa Ajira ili kuepuka Usumbufu.
Download Hii PDF Hapo Chini -USOME NA KUELEWA MAELEKEZO YOTE, NAMNA YA KUFUNGUA ACCOUNT NA KU-UPLOAD DOCUMENTS ZAKO NA KUFANYA APPLICATION!!!
Zingatia Kufuata Hatua zote Kama ilivyoelekezwa kwa Umakini